Utafiti uliofanywa kuhusu korosho, umeonesha zina faida nyingi kiafya ikiwamo tiba ya maradhi ya moyo. Tunaelezwa ulaji wa korosho mara kwa mara husaidia kuweka sawa afya ya moyo kwa sababu…
Sehemu kubwa ya mbogamboga (vegetables) inachukuliwa na maji kwa asilimia 84-96. Kwa upande wa virutubisho vingine, mbogamboga ni chanzo kizuri cha madini ya Phosphorus na Calcium. Vilevi…
Kuandaa : Dakika 35 Mapishi : Dakika 20 Walaji : 5 Ujuzi : Rahisi Gharama : Nafuu Pishi hili ni rahisi kupiga liko tofauti kidogo na michuzi ya nazi tulioizoea na ladha yake inamfanya mlaji…
1. Majani yake hutumika kama chai na kutibu kuharisha damu, mafua na husaidia mfumo wa umeng'enyaji wa chakula. 2. Mizizi yake huua minyoo kwa aina zake . 3. Mbegu hutengenezwa dawa ya…
Watu wengi wenye elimu na umri zaidi ya miaka 20 wanafahamu umuhimu wa chakula katika miili yao. Wanaelewa kuwa ili miili yao ipate virutubisho (nutrients) muhimu vya kujenga na kuimarisha af…
Mtindo bora wa maisha ni kuishi kwa kuzingatia kanuni za afya na kwamba, mtindo bora wa maisha unahusisha kuzingatia ulaji bora, kufanya mazoezi ya mwili, kuepuka matumizi ya pombe, kuepuka mat…
Social Plugin